Jamaa1 alikuwa amekaa KANISANI siti ya mwisho kabisa,ila pembeni yake kulikuwa Kuna demu amekaa•Jamaa akaanza kutongoza dem huku mahubiri yakiendelea~ Mambo yalikuwa hiv= Jamaa=Nakupenda mtot mzuri ntakupa kila ki2 utakachotaka• BINTi=Sitaki ujinga wako Jamaa=Hata maandiko yanasema mpende akupendae jamani• Binti=Mbona ukuwa mgumu kuelewa kaka alafu apa tupo kanisani eeh• Jamaa=Kazd kukomAa nambie unataka sh•ngp?? Nkupe Binti= akamuu kupayuka kwa sauti"NIMESEMA SITAkI NIACHE"waumin wote wakageuka nyuma Jamaa=nae kwa aibu akazuga kwa kupayuka na yy "SIkUACHI MPAKA UOKOKE "hhha Ety nan?Mjanja hapo??