Duuh pole yako....wewe mama hatari sana, kisa cha kuisusa ndoa ni nini, yani kutembea nje ni sawa lakini ndoa mashaka. Anyways naheshimu uamuzi wako, pili naona bora tu utafute kijana aliyekomaa kimawazo, huyo atakutia stress maana hizo ni psychological torture.
all za best
Ni miaka 2 toka Mume wangu Mpenzi afariki,kwakuwa ni jambo ambalo limekuwa linaniumiza sn ,nimeamua kutoolewa nilee tu mtoto wangu na ndugu zake .Pamoja na hayo nimekuwa na mahusiano na kijana ambaye nimemzidi miaka 3 kiumri ,tatizo linakuja amekuwa aniamini ,anadhani kuwa mm ni muathirika kwakuwa nimefiwa na mume pamoja na kupima zaidi ya mara 4 na kuonekana niko safi ,kwakweli anazidi kuniongezea maumivu badala ya kuwa msaada kwangu...nifanyaje ?
Asante nashukuruUngetulia kwanza maana bado unamachungu na ukifanya haraka kutafuta mtu utabaki unalia daima.mwombe mungu akupe wakufafanana na wewe. Pole ila kumbuka mungu anajua unahitaji mwenzi hvyo kazi kwako kuomba kwa bidii
Nashukuru kwa ushauripole sana bibie kaa utulize akili huyo dogo uliyenaye hajiamini jitahidi kuvumilia hali uliyonayo usipelekeshwe na tamaa za mwili tafuta mtu mzima anayejitambua na kujielewa hawa vijana wadogo mara nyingi wanachezea hisia za watu
Duuh pole yako....wewe mama hatari sana, kisa cha kuisusa ndoa ni nini, yani kutembea nje ni sawa lakini ndoa mashaka. Anyways naheshimu uamuzi wako, pili naona bora tu utafute kijana aliyekomaa kimawazo, huyo atakutia stress maana hizo ni psychological torture.
all za best
Ni miaka 2 toka Mume wangu Mpenzi afariki,kwakuwa ni jambo ambalo limekuwa linaniumiza sn ,nimeamua kutoolewa nilee tu mtoto wangu na ndugu zake .Pamoja na hayo nimekuwa na mahusiano na kijana ambaye nimemzidi miaka 3 kiumri ,tatizo linakuja amekuwa aniamini ,anadhani kuwa mm ni muathirika kwakuwa nimefiwa na mume pamoja na kupima zaidi ya mara 4 na kuonekana niko safi ,kwakweli anazidi kuniongezea maumivu badala ya kuwa msaada kwangu...nifanyaje ?
Umekunywa nini?Duuh pole yako....wewe mama hatari sana, kisa cha kuisusa ndoa ni nini, yani kutembea nje ni sawa lakini ndoa mashaka. Anyways naheshimu uamuzi wako, pili naona bora tu utafute kijana aliyekomaa kimawazo, huyo atakutia stress maana hizo ni psychological torture.
all za best
Ni miaka 2 toka Mume wangu Mpenzi afariki,kwakuwa ni jambo ambalo limekuwa linaniumiza sn ,nimeamua kutoolewa nilee tu mtoto wangu na ndugu zake .Pamoja na hayo nimekuwa na mahusiano na kijana ambaye nimemzidi miaka 3 kiumri ,tatizo linakuja amekuwa aniamini ,anadhani kuwa mm ni muathirika kwakuwa nimefiwa na mume pamoja na kupima zaidi ya mara 4 na kuonekana niko safi ,kwakweli anazidi kuniongezea maumivu badala ya kuwa msaada kwangu...nifanyaje ?
Ni miaka 2 toka Mume wangu Mpenzi afariki,kwakuwa ni jambo ambalo limekuwa linaniumiza sn ,nimeamua kutoolewa nilee tu mtoto wangu na ndugu zake .Pamoja na hayo nimekuwa na mahusiano na kijana ambaye nimemzidi miaka 3 kiumri ,tatizo linakuja amekuwa aniamini ,anadhani kuwa mm ni muathirika kwakuwa nimefiwa na mume pamoja na kupima zaidi ya mara 4 na kuonekana niko safi ,kwakweli anazidi kuniongezea maumivu badala ya kuwa msaada kwangu...nifanyaje ?
samahani, kama hutajali we una umri gani?
Umeamua kutoolewa ukachagua kuwa mzinzi, unahisi huo ni uamuzi wa busara?
Kuna wanaume walishajitokeza kutaka kukuoa ukakataa au unajipa moyo hutaki kuolewa tena kwa kuwa tu wanaume wamelogwa ugonjwa wa kutooa mwanamke mwenye watoto?
Duuh pole yako....wewe mama hatari sana, kisa cha kuisusa ndoa ni nini, yani kutembea nje ni sawa lakini ndoa mashaka. Anyways naheshimu uamuzi wako, pili naona bora tu utafute kijana aliyekomaa kimawazo, huyo atakutia stress maana hizo ni psychological torture.
all za best
Ni miaka 2 toka Mume wangu Mpenzi afariki,kwakuwa ni jambo ambalo limekuwa linaniumiza sn ,nimeamua kutoolewa nilee tu mtoto wangu na ndugu zake .Pamoja na hayo nimekuwa na mahusiano na kijana ambaye nimemzidi miaka 3 kiumri ,tatizo linakuja amekuwa aniamini ,anadhani kuwa mm ni muathirika kwakuwa nimefiwa na mume pamoja na kupima zaidi ya mara 4 na kuonekana niko safi ,kwakweli anazidi kuniongezea maumivu badala ya kuwa msaada kwangu...nifanyaje ?
Babu kwa maneno yako haya ya busara nakuandalia kabinti kabichi kabisa kwaajili ya kuifanya Jumapili yako iwe bomba
Unajua hawa wanawake wanakuwa wanatembea na imani zao walizojilisha wenyewe
Sijui ni nani ambae amewaambia kuwa kila mwanaume hataki kuoa mwanamke mwenye watoto au mtoto
Naona hawa ni wa kutandika viboko kabisa!
Aiseee
Nyie ndio wale ambao hamsomi hata mada halafu mnakurupuka kuchangia
Halafu hata kichwa cha habari hujakiona?
Mjane;
Sijui kama ni mimi tu nimeshindwa kukuelewa. Kwanza unajiita mjane, huku unasema hutaki kuolewa ila unataka kumlea mwanao, na sio peke yako bali pamoja na ndg zake marehemu mumeo unayesema ulimpenda sana atii.
Mahali sijakuelewa ni; huyu dogoo uliyemzidi umri katokea wapi tena? Si umesema hutaki kuolewa? Dogoo anatokea wapi? Si umesema hutaki kuolewa? Unataka kujilaza na kila dogoo??? Acha kabisa mambo hayo. Usiwafundishe vijana tabia ya kupenda "Used". Tulia au uwatangazie ukoo kuwa unataka mmoja wao akuridhi kama weye ni shamba.
Tengana na huo ukoo ukajikalie mahali pa peke yako uanze maisha mema si kuwasaidia vijana. Wao nao wana wasichana wazuri tu nao waanze nao ka weye ulivyo anza na marehemu.
hufai kubembelezwa kwani hujui hata unachokitaka.