Mjadala wa pamoja wa kunusuru nchi yetu

Mjadala wa pamoja wa kunusuru nchi yetu

luchelele mzunguko

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2021
Posts
1,205
Reaction score
1,654
Naamini amjambo,

Wakuu nawakalibisha katika mjadala huu wenye nia njema ya kupata mawazo ya nini kifanyike kuliponya taifa letu pendwa la Tanzania,

Kwa watu wanao penda kufatilia siasa kama mimi maana siasa ni maisha wanaelewa kama mimi ya kwamba serikali ya chama cha mapinduzi imeifanya nchi hii kama kampuni yake ni lazima tukomeshe haya mambo nchi ni yetu sote bhana mambo haya yafike mwisho,

Haiwezekani tangu uhuru mpaka sasa miaka ipatayo 60 matatizo bado yale yale maji,umeme mimi binafsi maoni yangu ni kwamba

Mimi kwa maoni yangu kutokana na upembuzi wangu yakinifu nimegundua hatutafika popote kwa mtindo huu wa serikali hii ya ccm hiliyo jaa watu walafi wa madara na wasio wazarendo nimeona hipo haja ya kuiondoa kwa njia yoyote lakini sio ya upigaji kura maana hii nayo imeshindwa kutokana na katiba mbovu hiliyopo, iingie serikali nyingine kabisa tusonge mbele atujachelewa muda ni sasa,

Onyo. Mjadala huu ni mahususi kwa wale tulio choshwa na utawala huu ulio dumu kwa zaidi ya miaka 60 lakini matatizo ni yale yale.

Karibuni sasa.
 
Back
Top Bottom