Mjadala wa mshahara wa Rais Magufuli ufungwe

Feb 27, 2016
109
138
Wana JF, habari za weekend. Poleni na majukumu mazito ya kulijenga taifa letu la Tanzanaia

Mimi silipwi na ikulu kumtetea rais mitandaoni, sio kibaraka wa Rais, wala sijipendekezi kwa Rais kwa kutaka ukuu wa wilaya, Ukurugenz wa shirika fulani, Ujumbe wa bodi ama na nafasi zake za uteuzi wa Ubunge zilizo bakia,wala silipwi na ccm lumumba, ukifuatilia hoja zangu utajua.

Nimesema hivyo kama tahadhari kwakuwa members wengi wa JF wakiona unapingana mawazo na hoja zao dhidi ya watawala wanajua unataka uongozi. Mimi Mh. Rais hanifahamu wala mimi simfahamu zaidi ya kumuona kwenye vyombo vya habari, labda mkewe naweza kusema nilikutanan naye kipindi nikiwa na kabint kangu pale shule alipokuwa akifundisha kwakweli namshukuru huyu mama,kwa sasa kabint kangu kamefaulu kapo sekondari kule Tanga .Namfahamu na kumheshimu kama mwalimu wa bint yangu na sasa ni first lady wetu.

Kumekuwa na mjadala usioisha ulioibuka humu tangu juma lililopita juu ya mshahara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndugu yetu mpendwa Dr.John Pombe Magufuli. Ndugu zangu wana JF na watanzania kwa ujumla hebu tuweni wazalendo wa nchi yetu. Yapo mambo ya msingi sana ya kujadili na kumshauri Rais wetu mpendwa ili ayafanyie kazi,lakini kwa jambo hili halina tija na pia ni uonevu wa hali ya juu. Hakuna nchi iliyoendelea na wananchi wake wakawa improve standard of living kwa kuhoji ama kwa kufahamu tu rais wao analipwa kiasi gani kwa mwezi. Tujiulize tukishajua "so what......"

Nashindwa kujua kama mafisadi na wahujumu uchumi wamevamia JF kutumia baadhi ya wenzetu kurudisha nyuma dhamira njema ya Rais wetu mpendwa ya kupunguza mishahara mikubwa ya watumish wa serikali hasa kwenye baadhi ya taasisi za serikali ambazo imebainika wakurugenz na ma ceo wanalipwa mishahara mikubwa kuliko hata viongozi waandamizi wa serikali wakiwemo Rais mwenyewe, makamo wake, waziri mkuu, mawaziri, wakuu wa mikoa na hata wabunge wetu tuliowachagua.

1.Rais wetu mpendwa alipoanza kwa kutembelea wizara ya fedha siku ya kwanza na kuhoji juu ya wafanyakazi absents within working hrs wote tulimuunga mkono...
2.Next visit alipotembelea hosp ya muhimbili na kuagiza x-ray machine na c-scan zifanye kazi haraka ili kuokoa maisha ya watanzania wote tulimuunga mkono.....
3.Alipokataa over 200mil. kufanya sherehe za kumpongeza na kuagiza zitumike kununua vitanda hosp.ya taifa ya muhimbili wote tulimuunga mkono...
4.Alipokataa kufanya sherehe za uhuru na kusema hatuwezi kusheherekea uhuru hali jiji na nchi yetu yote kwa ujumla ni chafu. Siku hiyo wote tuamke asubuhi tufanye usafi.na yeye mwenyewe alikuwa mfano pale feri,pamoja na kupata nafasi ya kuongea na watu wachini na kusikiliza kero zao, ambao kwa kauli yake mwenyewe aliwaita "majirani zangu" na pia kazi aliyoifanya ni ya kuigwa na haina mfano. Adha pesa hiyo pamoja na gharama zilizoandaliwa kulipa wacheza parade,ie.majeshi yetu,maafisa wanao mzunguka na wale ndugu zetu wachumia tumbo wenye makampuni yao ya kupamba majukwaa kwa mabilioni alisema zitumike kupanua barabara ya morocco posta.jambo hili ..wote tulimuunga mkono
5.Alipo sitisha safari za nje ya nchi kwa watumish wa uma.mpaka kuwe na idhini yake yeye mwenyewe ama on his absence katibu mkuu kiongozi kwa maelekezo yake na kutoa takwimu jins safari za nje zilivyogharimu mabilioni ya fedha za uma ambazo zingetumika kufanya miradi ya maendeleo na kutaarifiwa baadhi ya mawaziri,watumish wa uma na familia zao,serikali iliyopita walikuwa wanapishana angani as if ni "airhostess" na wengine walikuwa wanafanya safari za nje nyingi kuliko kwenda kusalimia wazazi wao makwao...wote tulimuunga mkono...
6.Alipokwenda TRA na kufichua wizi mkubwa na kumsimamisha kazi kamishna mkuu wa TRA Bade na yale masamaki mengine wote tulimuunga mkono...
7.Alipomuagiza PM wake kwenda bandarini baada ya taarifa ya uchunguzi kumfikia na kugundua wizi uliokithiri na utoroshwaji wa makontena kupitia banadri kavu ambapo pia iliwahusisha TRA na Bandari walioisababishia serikali hasara ya over 80bil.nakuanza kurejeshwa,wote tulimuunga mkono..
8.Alipogundua wajumbe wa bodi ya bandari wakiongozwa na mwenyekiti wao Prof.Msambiazi Pori na mshauri wao wa maswala ya sheria Dada yetu mbobezi Mh.Tabibu tetemeka kwamba walihusika kuishauri vibaya bodi ya bandari na hivyo kuvunja bodi hiyo na kuagiza uchunguzi ufanyike haraka na hatua za kisheria zi chukuliwe dhidi yao endapo wakipatwa na hatia...wote tulimuunga mkono
9.Alipomuagiza PM wake afuatilie RAHACO na kugundua ubadhilifu mkubwa wa fedha za umma -"embezzlement of govt fund" alimfuta kazi katibu mkuu na kuvunja bodi nzima ya Rahaco na kuagiza uchunguzi ufanyike haraka ili fedha zetu ziweze kurejeshwa na hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao endapo wakipatwa na hatia...wote tulimuunga mkono
10.Alipogundua kuna mchezo mchafu umetumika katika zoezi Zima la kutengeneza vitambulisho vya taifa National ID alifanya maamuzi magumu ya kutengua uteuzi wa mkurugenzi mkuu wa NIDA Bwana Mha.....plastic na kuagiza uchunguzi ufanyike na kama akipatwa na hatia basi hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi yake...na hilo wote tulimuunga mkono..
11.Ali tengua uteuzi wa mkurugenz wa mkuu wa Takukuru tabibu Edu....na kusema sababu hajaridhishwa na utendaji wake wote tulimuunga mkono.....
12.Alipo kwenda BOT na kugundua wafanyakazi hewa na wengine ni watoto wa vigogo na kuagiza malipo yao yasitishwe mara moja na kuhakikiwa ili kubaini kama malipo hayo ni sahihi na wakibainika wahusika wachukuliwe hatua kali za kinidhamu na zoezi hilo kuokoa billions of money......wote tulimuunga mkono
13.Alipowaapisha wakuu wa mikoa wapya na kusema zoezi la kuhakiki wafanyakazi hewa lifanyike nchi nzima na kukutwa wafanyakazi hewa ni zaidi ya elfu moja na mia tatu na walikuwa wakilipwa over one billion ambazo serikali ilikuwa inapoteza kwa kuwalipa watu hewa,wengine wamekufa,wengine hawapo kazini walihama ama kuacha kazi. lakini hadhina walikuwa wanalipa kupitia wahasibu wa idara na wizara za serikali almost mikoa yote...na kwamba mwezi wa tatu serikali imeokoa over one billion kwa uhakiki huo...wote tulimuunga mkono.

AJABU ni pale aliposema anatarajia kuunda secular mpya ya mishahara ya watumish wa umma ili kuweka discipline na uwiano sawa haiwezekani mwingine alipwe mil.40 au 38 kwa mwezi na mwingine alipwe shs laki 313,000/= kima cha chini cha serikali iliyopita kwenye serikali hiyohiyo moja.

Kama tulimuunga mkono kwa mambo 13 niliyoyakumbuka na mengine ambayo sijayakumbuka kulingana na majukumu yanayo nikabili na muda wa kufikiri iweje leo tumtake Rais wetu atangaze mshahara wake hadharani kwa kuogopa nia yake ya kupunguza mishahara mikubwa ya mafisadi na wafujaji wa mali za umma?

MASWALI YA KUJIULIZA:
(i)Je miongoni mwetu sio beneficiaries wa hao wanaopata mishahara mikubwa?

(ii)na
kama sio beneficiaries kinachotuuma nini mpaka tutake na yeye atangaze mshahara wake?

MY OPINION:
Mh.Rais wetu mpendwa Dr.John Pombe Magufuli chondex2 usipeleke slip salary yako clouds tv ama kuwekwa kwenye mitandao eti kwa kutimiza kiu ya watanzania wachache wajue mshahara wako halis na makato yako, its not fair. Naomba mshahar wako aujue mama yetu Mwl.Jannet tu..! hao wanao kushinikiza wajue mshahara wako mishahara yao hata wake zao hawaijui wanaficha slip salary kwenye madroo ya dashboard za magari yao na kulock.

Watanzania wenzangu na wana JF .Mambo mengine tujaribu kufikiria kwanza. Tunawaheshimu wanasiasa ila la kushwawishi watanzania tuhoji mshahara wa Rais wetu mpaka kumsababisha baba wa watu kupiga simu na kuanza kutamka hiki na kile sio fair kwani mambo ya msingi ndugu zangu wa upande wa pili yameisha kuyajengea hoja?
 
umefungua ID mpya unakuja na kubwabwaja hapa.Punguza hayo mapesa watanzania wanakufa na njaa.

swissme
 
Nasikia eti Mbowe ye kajitolea kukitumikia chama kwa muda wa miaka 20, hapokei kitu chochote wala posho!
Safi sana kamanda Mbowe, huyu ni smooth criminal kweli kweli.
Mpeni heko zake.
 
Sasa wewe ndo unaendeleza yaleyale
 
Mtoa mada, wala usihangaike kwani mjadala huu utajifunga wenyewe. Acha wajadili. Na pengine nikuthibitishie mm si mwanachama wa wa CCM, na sikuwa na upenzi wo wote.
 
magufuli ni jembe LA ukweli mzalendo kama yeye hakuna katka viongoz wa bongo hii
 
Ukitaka mjadala ufe we lete mjadala mpya faster wala haina haja ya kutumia nguvu nyingi kama ulivyofanya.pamoja na hayo mshahara Wa rais bado kujulikana hiyo ilikuwa siku ya wajinga labda we we unataka kutuaminisha kuwa huo ndo mshahara wake
 
Back
Top Bottom