Apo. Ndo. Napata. Shiidaaa sanaa kumuelewa mtanzania. Tunailaumu sanaa selikali kwa kutokutoa ajira serilini. Apo apo kila. Kosa likitokea mnasema. Ccm. Sasa ww kada wa chama. Tofauti ukipata nafasi ya kazi seliarini ukibolonga. Rawamaa itapewa ccm ila. Aliobolonga ni. Mtu. Wa chamaaa. Tofauti. Japo yupo selikarini. Ila lawama. Zitaenda ccm. Apo. Ndo ule usemi wa UKUBWAA JALALA unapokuwaa. Na maanaa