G gayo JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 238 Reaction score 93 Oct 5, 2016 #1 Habari mwana jamvi? Natafuta sehemu wanaotengeneza mizinga ya nyuki kwa Dar es Salaam. Nahitaji kwa kuanzia kama mizinga 10 Kama unafahamu tafadhali ni PM Asante
Habari mwana jamvi? Natafuta sehemu wanaotengeneza mizinga ya nyuki kwa Dar es Salaam. Nahitaji kwa kuanzia kama mizinga 10 Kama unafahamu tafadhali ni PM Asante