Kama sio mpenzi wa kupiga hawa watu kama mimi inakera sana, ila wale ambao wanapiga wanaona kawaida tu.
Kuna kibar nilihama kwa upuzi huu, mhudumu hajiongezi nimeenda na demu wangu anauliza kaka vipi kama kawaida nami niagize? Aliniachia ugomvi mkubwa mjinga yule.