Nimesikia kwamba kuna mazishi ya Brigedia Jenerali Abdu Matinga's, saa nane mchana. Pahala - Mtoni Kijichi, Dar-es-salaam, Mizinga ya heshima itapigwa kama ilivyo taratibu. Hivyo wananchi wa maeneo hayo wasitaharuki kwa mshituko, maana walishawahi kukumbwa na janga la milipuko ya mabomu.
Steve Dii