Mizengo pinda hafikirii/mpumbavu...

usawa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
454
Reaction score
154
nakumbuka juzi alisimama bungeni na kusema jamani kwa unyenyekevu mkubwa NAOMBA HILI SWALA LA ESCROW LISIJADILIWE BZ BADO LIKO MAHAKAMANI na hii mihimili haitakiwi kuingiliana..,kumbe anajua kahusika pamoja na wezi wenzake hvi alifikiri kwa upumbavu wake wabunge watamwogopa!
 
alipiga dili kwa ajili ya pesa za kampeni za urais na mshikaji wake maswi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…