nyanjiiii Senior Member Joined Aug 23, 2014 Posts 112 Reaction score 73 Nov 23, 2017 #1 Jamani kuna mizani mikubwa inauzwa ni industrial scale inaweza kupima hadi kg 3000, inafaa sana kwenye biashara ya kupima mizigo mikubwa, atakayehitaji ani PM nimuanganishe na mhusika,
Jamani kuna mizani mikubwa inauzwa ni industrial scale inaweza kupima hadi kg 3000, inafaa sana kwenye biashara ya kupima mizigo mikubwa, atakayehitaji ani PM nimuanganishe na mhusika,
Mgodo visa JF-Expert Member Joined Nov 1, 2016 Posts 3,589 Reaction score 3,639 Nov 23, 2017 #2 Ni movable Scale, namaanisha inasogea kufuata mzigo wa kupima, ama ni Mizigo inaufuata Mzani...!?
nyanjiiii Senior Member Joined Aug 23, 2014 Posts 112 Reaction score 73 Nov 23, 2017 Thread starter #3 Mgodo visa said: Ni movable Scale, namaanisha inasogea kufuata mzigo wa kupima, ama ni Mizigo inaufuata Mzani...!? Click to expand... Hapana, yenyewe unaweka t mzigo juu yake na inasoma kg
Mgodo visa said: Ni movable Scale, namaanisha inasogea kufuata mzigo wa kupima, ama ni Mizigo inaufuata Mzani...!? Click to expand... Hapana, yenyewe unaweka t mzigo juu yake na inasoma kg