CCBRT wana bei nzuri japo hawana selection nyingi za frames.Wakuu, Habarini
Naombeni msaada kwenye tuta.
Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya macho na kutoona kuona vizuri hususani kwenye mwanga mkali.nimefanya Eye diagnostic na kuwa recommended kuvaa miwani lens power (0.75). Naomba kufahamu wapi naweza pata miwani (frame na lens yake) kwa bei nafuu. I prefer photochromic lens kutokana na kutumia computer kwa mda mrefu.
Msasani Shoppers, Bei zao zipo juu sana. Maana waliniambia hiyo miwani niandae kama laki 3. Naona hii kuafford itakuwa ngumu. CCBRT nilikuwa najua wanapima tu kumbe na Miwani wanazoCCBRT wana bei nzuri japo hawana selection nyingi za frames.
Pale Msasani Shoppers kuna wahindi ambao wanauza lakini bei zao zimechangamka sana.
Kweli kabisa bei zipo juu sana. Ndipo wakubwa wengi wanapochukulia miwani akiwemo Makonda.Msasani Shoppers, Bei zao zipo juu sana. Maana waliniambia hiyo miwani niandae kama laki 3. Naona hii kuafford itakuwa ngumu. CCBRT nilikuwa najua wanapima tu kumbe na Miwani wanazo
0.75 itakuwaje plano ?Si plano hiyo lens ?
Yamakagashi, ni vizuri umwelekeze wapi pa kununua.0.75 itakuwaje plano ?
Photocromatic lens kwa power hiyo wame muambia laki tatu ?
Je ingekuwa progressive ingekuwaje ?
Miwani nyingi kwa power hiyo sio zaidi ya laki na ishirini ikiwa ni pamoja na frame za kisasa kabisa
Au frame za kawaida hiyo miwani haizidi elfu 60
Ilikuwa Arusha mkuu sasa yeye yupo Dar ,Clinic fulani hivi opposite na Golden rose hotel inaitwa ZebraYamakagashi, ni vizuri umwelekeze wapi pa kununua.
Duh hao wahindi ni don't touch....sio kwa bei zileCCBRT wana bei nzuri japo hawana selection nyingi za frames.
Pale Msasani Shoppers kuna wahindi ambao wanauza lakini bei zao zimechangamka sana.
Nashukuru sana, at least you have opened my mind. Ndo maana pale shoppers waliniambia wanapokea bima za wabunge tu.Kweli kabisa bei zipo juu sana. Ndipo wakubwa wengi wanapochukulia miwani akiwemo Makonda.
CCBRT wana frames japo variety yao kwa miwani mizuri ni chache.
Maduka binafsi ya waswahili huwa wana bei nzuri kuliko za wahindi japo siwezi kukuelekeza exctaly.
mkuu hizo nazipatia wapi, Price range hiyo ni nzuri.. Naweza afford0.75 itakuwaje plano ?
Photocromatic lens kwa power hiyo wame muambia laki tatu ?
Je ingekuwa progressive ingekuwaje ?
Miwani nyingi kwa power hiyo sio zaidi ya laki na ishirini ikiwa ni pamoja na frame za kisasa kabisa ikiwa ni pamoja na antiglea kwa ajili ya mwanga wa computer
Au frame za kawaida hiyo miwani haizidi elfu 60
Nilichukua miwani Arusha huko wakati fulani kwa bei nzuri tu
Wale ni balaa. HahahaDuh hao wahindi ni don't touch....sio kwa bei zile
Sidhani kama ni bima za wabunge per se lakini pia wanachukua AARNashukuru sana, at least you have opened my mind. Ndo maana pale shoppers waliniambia wanapokea bima za wabunge tu.
Kennedy, glass au lense sio expensive. Tatizo linakuja kwenye frame na hasa frame nzuri na bora.Mkuu
Temeke Hospital Huduma Ya Kupima Inapatkana Pia Nina Mtu Yaani Ndugu Yangu Alikwenda Kupima Mwezi Uliopita Miwani Aliambiwa 30000/-
Ingawa Yako Unayohitaji Ni Maalum Sana Siwezi Kujua Bei Ila Ukipata Nafasi Watembee Huenda Ukapata Ufumbuzi Haraka Sana Pia Kwa Gharama Nafuu
MkuuKennedy, glass au lense sio expensive. Tatizo linakuja kwenye frame na hasa frame nzuri na bora.