Lotiro Mlembea
Member
- Sep 22, 2010
- 79
- 7
Haya mmeku ulilahangaha ngikutafute..Habari wana JF!
Nina mitungi mitupu( empty cylinders)ya gesi ya kupikia aina ya Oryx ujazo ni 6kg na 15kg, nilikuwa nafanya biashara hiyo ya kuuza gesi ila kwa sasa nimeamua kuicha kutokana na kubadilisha mazingira ya makazi. Kwa yeyote anayehitaji ani-PM au tuwasiliane hapa.
Asanteni.
Haya mmeku ulilahangaha ngikutafute..
teheteheeee safi sana nmependa hii lughaNgiliha Temeke, aika mmeku!!!
unayo mingapi , bei yako nimeiona lkn nijue mingapi unayo ili kama nachukua n8chukue yoteHabari wana JF!
Nina mitungi mitupu( empty cylinders)ya gesi ya kupikia aina ya Oryx ujazo ni 6kg na 15kg, nilikuwa nafanya biashara hiyo ya kuuza gesi ila kwa sasa nimeamua kuicha kutokana na kubadilisha mazingira ya makazi. Kwa yeyote anayehitaji ani-PM au tuwasiliane hapa.
Asanteni.
Mimi nataka huwa wa kg 15 unauzaje
unayo mingapi , bei yako nimeiona lkn nijue mingapi unayo ili kama nachukua n8chukue yote
Habari wana JF!
Nina mitungi mitupu( empty cylinders)ya gesi ya kupikia aina ya Oryx ujazo ni 6kg na 15kg, nilikuwa nafanya biashara hiyo ya kuuza gesi ila kwa sasa nimeamua kuicha kutokana na kubadilisha mazingira ya makazi. Kwa yeyote anayehitaji ani-PM au tuwasiliane hapa.
Asanteni.
Mkuu mawasiliano yako??
Tumeku-pm kimya...
mkuu nahitaji mtungi wa kg 15 niko mwenge ntaupataje? au nikupe mawasiliano yangu mkuu?
Mheshimiwa vipi mitungu bado unayo? Mi nahitaji