Mkuu hebu jazia nyama basi kwenye hii kitu maana hapo binafsi sijaelewa kabisa.
1.vp kuhusu gharama ya bale moja kwa hiyo grade A
2.makadilio ya idadi ya mitumba kwa kila bale nk
Binafsi nataka nianze biashara ya mitumba mizuri ya watoto 1-10 yrs..ila sina uzoefu hivyo nisaidie hapa naweza kuwa mteja wako mbeleni who knows.