Mitumba grade 1

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,097
Reaction score
10,946
Nahitaji kujua bei ya mitumba daraja la kwanza kwa bells(do not mind my spelling namaanisha hicho)
 
Naona wanaojua hii kitu bado hawajapitia hapa, kuwa na subira mkuu.
 
kuwa specific ni aina gani ya nguo za mtumba unazohitaji mkuu,.. Za kike,kiume,nguo za watoto,. mashuka,makoti,. n.k
 
Uko wapi? kama mkoani moshi utapata nguo vitu vizuri na hela nzuri pale memorial chuga karibu n namanga
 
Uko wapi? kama mkoani moshi utapata nguo vitu vizuri na hela nzuri pale memorial chuga karibu n namanga

memorial mpaka uwe mzoefu na kujulikana na watu la sivyo utaambulia patupu,..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…