Obama anampa kiwewe mpaka anajikuta anadanganya. Hizo ni dalili za mfa maji. Uzuri wa wenzetu hawadanganyiki kirahisi; wanajua mbivu na mbichi kwa urahisi sana kwa sababu SI WAVIVU WA KUFIKIRI. Mungu tusaidie na sisi Watanzania tufunguke macho na masikio ya ndani ili tuwaabishe wanasiasa wote ambao wamekua ni mabingwa wa kutudanganya kwa muda mrefu, tusiwape nafasi tena ya UTAWALA.