Salaam zenu wana jf.Naomba kuuliza kuhusu hizi gari pajero,kuhusu ubora wake,speare zake bei mbaya? Pia kama zina matatizo ya kudumu kam gear box au head gasket.Nitashukuru maoni yenu has kwa wale waloshawahi kuwa nazo au mafundi. Ahsanteni.
Bado sina lakini nimeziona bei ni poa hapa nilipo na nilikuwa nataka kununua moja kuileta bongo,lakini sitaki kununua baadae ikawa msiba ukizingatia hizi ni gari za kizamani kidogo.