Mitsubishi double cab pickup inauzwa bei chee

GreenHouse

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
280
Reaction score
262
Nauza mitsubishi double cab pick up. Imetumika nchini miezi sita tu,
Engine size 2.5 cc diesel, model 4D56 of 2002, Imported from UK,
Manual transmission
Full air condition
All New Yokohama A/T tires
Canopy included
Regularly serviced
Very good condition
Gari ipo DSM,
Bei 19,000,000 negotiable (only serious offers) no time wasters please.
 
Dah, gari nzuri sana, mi nauza engine kama hiyo atakayenunua gari anipm nimuuzie spare kabisa, ilala wana bei hatari. Japo mitsubishi huwa haziharibiki hovyo kama unafanya service ya uhakika lakini kujiandaa muhimu.
 
Mitsubishi hizi ni nzuri sana, zinakimbia balaa. Huwezi kulinganisha hata na Toyota Hilux Double Cabin
 
Mitsubishi hizi ni nzuri sana, zinakimbia balaa. Huwezi kulinganisha hata na Toyota Hilux Double Cabin

Ni kweli na inatumia mafuta kidogo sana, huwa naenda arusha kwa tank moja la mafuta na yanabaki kidogo. Tank ni lita 59 hv.
 
Ni kweli na inatumia mafuta kidogo sana, huwa naenda arusha kwa tank moja la mafuta na yanabaki kidogo. Tank ni lita 59 hv.

Safi mkuu, mi naipenda hii gari maana ndio niliyojifunzia enzi hizo home nikiwa form2, naamini wadau wataichangamkia fasta
 
Dah, gari nzuri sana, mi nauza engine kama hiyo atakayenunua gari anipm nimuuzie spare kabisa, ilala wana bei hatari. Japo mitsubishi huwa haziharibiki hovyo kama unafanya service ya uhakika lakini kujiandaa muhimu.
Mie nahitaji injini hiyo, upo wapi?
 
Nimeipenda mzee tubadilishane nikupe freelander 2 manual transmision 2004 from uk
 
Nimeipenda mzee tubadilishane nikupe freelander 2 manual transmision 2004 from uk

Dah, kiongozi mi nauza kwa pesa taslimu. Siwezi kubadilishana.
Weka picha hapa, huenda wadau wengine wanaohitaji wakavutiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…