M Mpigaji JF-Expert Member Joined Feb 6, 2011 Posts 384 Reaction score 42 Sep 15, 2011 #1 Wadau hivi mitihani ya kidato cha 4 au 6 hutungwa kwa kuzingatia mihtusari ya masomo au vipi?
tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,146 Sep 15, 2011 #2 Mpigaji said: Wadau hivi mitihani ya kidato cha 4 au 6 hutungwa kwa kuzingatia mihtusari ya masomo au vipi? Click to expand... unauliza au unatoa taharifa? Sijakuelewa! Alafu mihtusari ni kitu gani?
Mpigaji said: Wadau hivi mitihani ya kidato cha 4 au 6 hutungwa kwa kuzingatia mihtusari ya masomo au vipi? Click to expand... unauliza au unatoa taharifa? Sijakuelewa! Alafu mihtusari ni kitu gani?
Stanley. JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 659 Reaction score 305 Sep 15, 2011 #4 Mpigaji said: Wadau hivi mitihani ya kidato cha 4 au 6 hutungwa kwa kuzingatia mihtusari ya masomo au vipi? Click to expand...

ulichouliza ndicho kinapaswa kiwe hivyo. Kutunga mtihani nje ya muhutasari ni kosa utakuwa unapima kitu ambacho sio kusudio la mafunzo. Kwa mitihani yetu ya necta yapo matatizo. Kuna wakati maswali yanakuwa nje ya muhutasari.
Mpigaji said: Wadau hivi mitihani ya kidato cha 4 au 6 hutungwa kwa kuzingatia mihtusari ya masomo au vipi? Click to expand...

ulichouliza ndicho kinapaswa kiwe hivyo. Kutunga mtihani nje ya muhutasari ni kosa utakuwa unapima kitu ambacho sio kusudio la mafunzo. Kwa mitihani yetu ya necta yapo matatizo. Kuna wakati maswali yanakuwa nje ya muhutasari.
B Bajabiri JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 9,727 Reaction score 1,214 Sep 15, 2011 #5 Ndio mdau huzingatia Mpigaji said: Wadau hivi mitihani ya kidato cha 4 au 6 hutungwa kwa kuzingatia mihtusari ya masomo au vipi? Click to expand...

Ndio mdau huzingatia Mpigaji said: Wadau hivi mitihani ya kidato cha 4 au 6 hutungwa kwa kuzingatia mihtusari ya masomo au vipi? Click to expand...

Dio JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 1,274 Reaction score 159 Sep 15, 2011 #6 Ndio ndugu lazma wafuate muktasari.
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,868 Sep 15, 2011 #7 Wanaotunga mitihani ni waalimu wa Tanzania, wanatumia mitaala ya Tanzania. NECTA wapo sahihi wanapotunga mitihani.
Wanaotunga mitihani ni waalimu wa Tanzania, wanatumia mitaala ya Tanzania. NECTA wapo sahihi wanapotunga mitihani.