Kila siku najiuliza kuhusu mitihani ya mchujo - utumishi, inakuwa ya mhundo gani?
maana watu ni wengi na wanasiku moja ya kusaisha na kuwainterview waliopasi.
Kama kuna mdau amewahi kufanya tafadhali watujulishe na kufungua watakao kwenda kufanya mitihani hiyo..