Ni hisia tu ulizonazo, ni hali tu ya kisaikolojia ambayo umhijia mtu hasa mambo yaendapo ndivyo sivyo. Mara nyingi inakuja kwa wale wanaodhani watu wanawapenda kwasababu wana hela, wana uwezo! Kumbe upendo kwa mwanadamu inakuja automatic, it's inborn! We we wapende tu, ukijizuia ni kama kuondoa uchafu kwa kutumia uchafu! Saikolojia ni nzuri sana! Ikiijua!