Miti ya mbao inauzwa

served

Senior Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
168
Reaction score
58
Hallow habarini za pasaka
Miti ya mbao inauzwa iko Mafinga Iringa Ziko ekari 13,miti ina umri wa miaka 9 aliyeinterested anipm asante.
 
Aina gani ya miti? Tupia na picha mkuu
 
soko la mbao limepolomoka sana....
 
Limeporomoka vipi boss na naona watu wanajenga kila siku? Ujenz lazima tutumie mbao furniture ni mbao
we petty ni wakala sijuh nakueleza ukweli rate ya ujenzi imepungua sana na hata vifaa vya ujenzi beh imeporomoka vibaya watch out beh ya cement now...
 
Kama utaridhia njoo pm ntakupa namba ya mawasiliano kwa karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…