halafu mzizi mkavu niliwahi kusikia kwamba mibuyu nayo hukaa mashetani ila ile yenye matundu mashetani wake huwa wanatoka lakini isiyo na matundu wao huwa wametulia tu labda kama kuna mchawi atataka kuwatumia ndipo ndipo hutoka je ni ya kweli haya.?swali tu