Habarini nfugu zangu wana JF.Naomba sapoti yako ikiwa ni mdau mhimu sana katika jamvi hili. Ni kitambo saaa nimetumia kufikilia kuhusu zao hili LA miti ya kupandwa ( paini na mlingoti) linapatikana kwa wingi sana hapa kwetu Njombe . ni fursa iliyopo wazi kunufaika nayo lakiki Mimi binafsi mambo yafuatayo hapo chini yananitatiza kufanikisha swala hili
1. Sijaweza kujihusisha kuifanya kwasababu sina mtaji mkubwa
Kwa ajili ya kununu miti au mbao, mashine za kupasulia (chainsaw), pesa ya mulipa wafanyakazi na gharama za kusafilisha mzigo
2. Kwaupande flani Mimi ni mkulima kwan mpaka sasa namiliki ekati kadhaaa, ila natamani kujihusisha na hiii biashara
Kwahiyo ndugu zangu kama nilivo eleza hapo juuu naombeni sapaoti kwawale wazoefu wa mda mrefuu kwenye hii biashara na kama pia kama kuna mtu atahitaji tushilikiane katika biashara, ( na imani kunawatu wanamiliki yadi za mbao, makampuni yanayo safilisha nk.) itakuwa vizuri zaidi tukishilikiana kwa hili
Kubwa zaidi huku nilipo kuna miti ya:-
-mlingoti, na pain zakutosha,
-kunamashamba pia yenye miti inauzwa
-Viazi mviringo/ ulaya pia vinapatikana kwa wingi; kwa bei ya mkulima gunia la kg60 inafika hadi 35,000
karibu tufanye biashara , tuwasiliane kwa 0654530669/ 0769661860 au
phiedex@gmail.com
Sent using JF mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app