Mahitaji meeengi wakati Hana vigezo...
hahaha
kwa nyuma naona kada wa sisiem
Maandishi sijayaona ila naamini hiyo "package" tumboni nayo napewa!
Mbona kitumbo mbwii cha ubwabwa au ndio mambo safi kababy yumo?
Hahaahah kitumbo cha bia na Nyama choma
Kuna chakula amekula kikampa aleji kama sio mihogo basi ni kachoriMbona kitumbo mbwii cha ubwabwa au ndio mambo safi kababy yumo?