mitandao ya simu wangelizingatia hili...

Vangiporini

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
328
Reaction score
319
Kuna hili swala la vifurushi ambavyo vina dakika,SMS na mega bytes kutokana na ukweli kwamba sio wote ni watumiaji wa hizi SMS pamoja na MBs nadhani si vibaya waka classify upya hivi vifurushi mfano;1.sms,dakika na MBs(ile ya kawaida)2.dakika na sms3.dakika na MBsni hayo tu jamani sijui nyinyi mnalichukuliaje hili swala
 
Wazo zuri sana. Ila unafikiri gharama zitapungua?
 

Hivi sijakuelewa au umekosea? We ukiona vinakuchanganya dawa yake kuacha tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…