Mitandao ya simu imekumbwa na nini?

Mitandao ya simu imekumbwa na nini?

Cesc Henry Sn

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
217
Reaction score
125
Habari za mida wakuu,

Najiuliza tangu juzi kumekuwa mtandao wa simu kwenye upande wa internet kuwa slow maana nna line 3 za simu tofauti na mara nyingi nakuwaga katikati ya mji so huwa natumia internet ila siku mbili hizi mitandao imekuwa slow hadi sielewi.

So najiuliza je ni hiyo central server yao sasa ndio ishaanza kufanya kazi sasa hivi kila unachotaka kipitie kwanza kwao ndio kikufikie.
 
Simu yako itakuwa imezeeka mkuu sasa inakaribia kufikia mwisho wake wa matumizi (expiry)
 
Kuna tatizo hata nje ya nchi internet iko slow sana
 
Mi mtandao uko vzr sema nikiwekaga salio bila kujiunga uwa wanakata awa vodacom na sijajiunga na huduma yoyote ya makato
 
ungetaja ni mtandao gani ingekuwa bora. Speed za kobe tunawafaham
 
Hata Mimi ni shahidi Kwa eneo nililopo..tena kutengemaa ni hii Leo angalau tangu asuhuhi imekua afadhali lakini tangu juzi ilikua majanga yaani Kobe ana afadhali
 
Back
Top Bottom