Mitandao ya kijamii Africa

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,968
Heshima kwenu wakuu JF
Jamani takakujua tu hivi ni mitandao ipi ya kijamii hapa Africa ambayo:-
1. Inawatumiaji wengi
2. Kuna uhuru wa kutoa mawazo
3. Haibagui kundi fulani

Ninataka kujua tu ili niweze japo kutunisha msuri kwa watani wetu.


 
jfffffffffffffffffffffffffff
 
Wenye takwimu sahihi nadhani watakujibu...
 
Wajuzi wa mitandao watakupa orodha sahihi ya hiyo mitandao kua na subra tu,,.....!!
 

1..fb,inaongoza kuwa na watumiaji wengi ila wamejaa utoto wa fikra/upumbavu.
inakadiriwa kuwa ina watumiaji wasiopungua krilioni krilioni mia tano,(labda ni kwakua kuna watu wana acc zaidi ya 1)
2..JF,inaongoza kuwa na werevu.

ULIKUWA UNATAKA KUJUA MTANDAO UPI UNAONGOZA KWA WATUMIAJI MENGI,WA AINA GANI?
 
Facebook; inasadikika kwamba karibia kila mwenye access na net Africa basi ana account Facebook

Tweeter; inaikaribia Facebook kwa mbali

Instagram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…