Mitandao imekuja kuhalalisha dhambi hizi

Mkuu nakubaliana nawe 80%. Hiyo 20% nimeiondoa kutokana na wewe kusema katika hoja na.2".....Tunawatamani wanawake wengi kwa kupitia picha na video chafu.... " Picha na video chafu ni zipi?? Ni lazima ukubali (kama umeoa) mkeo ulimwoa baada ya kumtamani awe ni mwenzi wako. Zingatia kwamba Tendo la Ndoa ni Tendo TAKATIFU na lenye Heshima kubwa ni kwa Tendo hilo Binadamu huwezeshwa kutekeleza Agizo (waliagizwa) "zaeni muongezeke, mkaijaze nchi na kuimiliki... (Biblia Mwanzo1: 28)" Sasa Inakuwaje wewe ndg. unaita uchafu agizo la Mungu??
Iko hivi mkuu; Tendo la ndoa linapowekwa kama ni Biashara, yule mtu aliyeweka KITENDO hicho kwenye Picha au Video ndiye MCHAFU lakini Tendo la ndoa linabaki kuwa ni tendo Takatifu, Safi na lenye Heshima kubwa na ndo maana Binadamu hujisikia vizuri anapolifanya kwenye Faragha. Na Bila Tendo hilo, ww na mm tusingelikuwapo hapa duniani.
 
Bange utavyoinuia ndivyo itakavyokupeleka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…