Shida ni kwamba somewhere nyuma ya majengo haya mazuri, kuna mtu anakatwa kichwa kwa kosa la uzinifu ilhal aliyezini naye yupo kwenye kundi linalotazama.
Huo mji ni sawa na jeneza, ndani kuna maiti. Tumaini la maisha linasongwa na imani iliyojaa giza. Hakuna uhuru wala furaha ya maisha hususan kwa jamii ya wanawake. Uzuri wa jiji haushabihiani na tabasamu katika nyuso za maua (wanawake) wa mji.
View attachment 75806