Mita kusoma Error 77

Uncle Araali

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
952
Reaction score
1,265
Wakuu,naingiza namba za Luku kwenye mita lakini inaandika Error 77.Tatizo ni nini? Nifanyeje?
 
Ikiwa ni meter ya WASION basi utaanza na 0 bila kuacha nafasi utaweka na namba ya mita kisha 0 tena pia rudia namba ya mita yako na mwishoni maliza na 0 tena utapiga OK itakuwa ishafunguka ukishindwa itakuwa hujafuata maelezo vyema tuliza ubongo
 
wasiliana na watu wa tanesco watakusaidia mpigie 0714322668 atakusaidia gharama yake ni ELFU 7000
 
Ikiwa ni meter ya WASION basi utaanza na 0 bila kuacha nafasi utaweka na namba ya mita kisha 0 tena pia rudia namba ya mita yako na mwishoni maliza na 0 tena utapiga OK itakuwa ishafunguka ukishindwa itakuwa hujafuata maelezo vyema tuliza ubongo
hii imekubali shukrani mkuu
 
Ikiwa ni meter ya WASION basi utaanza na 0 bila kuacha nafasi utaweka na namba ya mita kisha 0 tena pia rudia namba ya mita yako na mwishoni maliza na 0 tena utapiga OK itakuwa ishafunguka ukishindwa itakuwa hujafuata maelezo vyema tuliza ubongo
Well done
Cuba boy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…