MISWAKI YA WISDOM MMH?

kadovela

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
471
679
HIVI HAWA WALIOTENGENEZA MISWAKI YA WISDOM WALIKUWA WANALENGA TUITUMIE KWA KWA KUSAFISHA VINYWA VYETU AU KUSUGULIA VIOO VYA MAGARI YA MKAA, KWAKWELI INAFANYA VOLUNTARY TORTURE YA MDOMO NA MENO.
 
Dah.. miswaki hutengenezwa kwa viwango mbali, ipo ya watoto, ya wazee, ya wavuta fegi, ya kutumia sehemu za baridi,za joto nk nk..sasa isije kuwa umetumia miswaki iliyotengenezwa kwa ajili ya mambwiga kutoka mkoa
 
Back
Top Bottom