Voice of Mara
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 358
- 127
Chadema operation#Toroka Uje kanda ya ziwa chini Mhe Vincent Nyerere Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara napia mgombea ubunge Musoma mjini!amendelea kuifuta Ccm kanda ya ziwa nzima jioni hii mkutano wake wa mwisho amefanya jimbo la Misungwi Mkoa wa Mwanza#Tukutane October 25✌✌✌###Mabadiliko Lowassa✌###NyerereTena2015 Musoma mjini kwa muendelezo wa maendeleo✌✌✌✌mwaka huu mpaka Ccm waombe poo!!!Tazama picha za mkutano jioni ya Leo!
Nyomi kamzidi hata Magufuri, na habati yake anatumia fiesta kuvuta watu
Kamanda hiyo nyomi ya watu utashangaa matokeo yatakapotangazwa. Nakuhakikishia kwa Misungwi ubunge Kitwanga wa CCM atashinda wa kura nyingi sana, wapinzani hawatapata hata nusu ya kura zake.Nyomi kamzidi hata Magufuri, na habati yake anatumia fiesta kuvuta watu
Kamanda hiyo nyomi ya watu utashangaa matokeo yatakapotangazwa. Nakuhakikishia kwa Misungwi ubunge Kitwanga wa CCM atashinda wa kura nyingi sana, wapinzani hawatapata hata nusu ya kura zake.
kwanini mgombea ubunge jimbo la Misungwi kupitia CHADEMA kwa mwamvuli wa UKAWA hafanyi kampeni? Au kapima kina cha maji akaona ni kupoteza muda kupamabana na Charles Kitwanga?
Kuna mgombea yeyote wa upinzani wa kumtetemesha Kitwanga katika chaguzi wa mwaka huu? ongea kihalisia sio kishabikikitwanga ni mwepesi kuliko pamba