[emoji1787][emoji1787][emoji1787].. sijaajiriwa.. na sifanyi shughuri inayoendana na fani niliyosemea ila elimu ndyo imenifungulia mrango wa shughuri ninayofanya sasa mpaka sasa naamini kila kitu hutokea kwa sababu fulani.. usiidharau elimu yako , unaambiwa elimu ni yale yaliyosalia baada ya kusahau kila kitu.. tumia kaelimu uliko bakiwa nako kanaweza kukutoa ukamake wonders umiza kichwa hauta jilaumu tena [emoji846][emoji846]
Tafuta mistake nyingine. Kwenye elimu haujafanya mistake
Sent using
Jamii Forums mobile app