Kuwekeza nguvu kwenye elimu kwa kuamini elimu ni Bora kuliko fedha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwekeza nguvu kwenye elimu kwa kuamini elimu ni Bora kuliko fedha
Sent using Jamii Forums mobile app
.. sijaajiriwa.. na sifanyi shughuri inayoendana na fani niliyosemea ila elimu ndyo imenifungulia mrango wa shughuri ninayofanya sasa mpaka sasa naamini kila kitu hutokea kwa sababu fulani.. usiidharau elimu yako , unaambiwa elimu ni yale yaliyosalia baada ya kusahau kila kitu.. tumia kaelimu uliko bakiwa nako kanaweza kukutoa ukamake wonders umiza kichwa hauta jilaumu tena
Tafuta mistake nyingine. Kwenye elimu haujafanya mistake
Sent using Jamii Forums mobile app
Shuguri = Shughuli.. sijaajiriwa.. na sifanyi shughuri inayoendana na fani niliyosemea ila elimu ndyo imenifungulia mrango wa shughuri ninayofanya sasa mpaka sasa naamini kila kitu hutokea kwa sababu fulani.. usiidharau elimu yako , unaambiwa elimu ni yale yaliyosalia baada ya kusahau kila kitu.. tumia kaelimu uliko bakiwa nako kanaweza kukutoa ukamake wonders umiza kichwa hauta jilaumu tena
Tafuta mistake nyingine. Kwenye elimu haujafanya mistake
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh...namkumbusha tu, ni vizuri kuelimishana.Demi mwache mwenzio basi...ni anko ake na mzee wa chato...
Hatutaki kukukosa mtaani ujue
Ha haa hiyo Kuna waliosoma degree ya lugha ya kiswahili lakini bado wanaandika na kuongea hivyoWakati wewe unasoma bachelor of international relation...mwenzio kasoma degree in cultural heritage...so anapambania kulinda utamaduni
Inaumiza sana unawekeza good twenty milion kwenye elimu badala ya kufanya mirad mwishowe unabaki mtaani jobless na mikopo kama yote
Aiseee nimeumbuka vibaya, dictionary ya uongo hiyo nakwambiaDemi njoo huku...mwenzio kaja na evidence ....