Mistaken Jay Z

Ana umri gani huyu Manake hiyo Mikunjo ya Usoni! Si Mchezo
 
kama anaumwa unyafuzi kwa jinsi ngozi ilivyo msinyaa
 
Yaani unaaambiwa jamaa amemeza albam zote za Jigga kuanzia ile ya kwanza Reasonable Doubt hadi hii ya mwisho watch the throne 2

Hapa nakuelewa mkuu Bujibuji, una maanisha watu wanamfananisha kwa kusikia sauti yake hasa akiflow ki-Jigga.
 
Ni halali ang'ang'anie gesi ibaki kwao, maana umri na ngozi haviendani!
 
...jamaa nasikia anajua tiba zote za kienyeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…