Wandugu. Mdogo wangu kachaguliwa kujiunga shule hii ya Missungwi kwa CBG namimi ndio naisikia hii shule. Natafuta contacts zao ili nifuatilie joining instruction na ikiwezekana nijue kabisa kama hii shule inamfaa au laah.
Wandugu . .. . Mdogo wangu kachaguliwa kujiunga shule hii ya Missungwi kwa CBG namimi ndio naisikia hii shule. Natafuta contacts zao ili nifuatilie joining instruction na ikiwezekana nijue kabisa kama hii shule inamfaa au laah.. Asante.