Raha bin utamu ni pale unapotarajia kubembelezwa kwa kuimbiwa na mpenzi wako usiku kabla ya kulala matokeo yake unapanda kitandani unajilaza mpenzi wako badala ya kukupet pet na kukuimbia anaishia kukoroma kama chura huku akikuwekea miguu na kuachia hewa ya ukaa. .... matokeo ya hayo...... lazima
utakuwa unaona maruweruwe tuu kila unachokisoma na kukiona maana usiku kucha ubongo umekosa oxygen lazima uandike povu.
So you don't know which is which.... either you like msweet or her comments.... Is that right chief1 ???? Endelea kumfollow msweet itakuwezesha kugundua ipi ni vepeeeee..... Sawa dear...
So you don't know which is which.... either you like msweet or her comments.... Is that right chief1 ???? Endelea kumfollow msweet itakuwezesha kugundua ipi ni vepeeeee..... Sawa dear...[/QUOTEs
sawa dear,until i can differentiate