Lov him, but let him Go..
Mapenzi bana.... Tuliotoka kuumizwa recently tunaona nyotanyota tu hapo!
Aaah.... Asante kasie kwa maneno yako mazuri na matamu, seems you've some experince on these issues..... Nmepata kamoyo ka kusonga mbele kidogo.... Hongera na asante!Poleee dunia siku zote ni duara, na kila kitu kwenye dunia hujirudia kwa maana ya mzunguko hata wataalam wakaanzisha mambo ya recycle ili kutunza mazingira.
Mapenzi pia hivyo hivyo ni mzunguko, kuna kipindi unakuwa on top of the cycle na kuna kipindi unakuwa bottom na kipindi side ways either left or right..... it's the matter of time. The issue is live the season if it's happiness like what I have enjoy it.... if it's sorrow like one you have then claim down gasp and breath heavily. .... Polee.
For Kasie love in the air.....
Akuna kabaya c6 . Kisababishi cha swali ni kuwa mm ni mkaaz mzawa wa Mboka,lkn atujawahi onana,labda kwakuwa Tbr imepanuka,imekuwa kubwa. Pia picha nimei-like.That avatar is purely Kasinde and this is my real name.
Anything wrong....
Hivi bado wapo wanafikiria mapenzi kipindi hiki cha mzee wa majipu
Akuna kabaya c6 . Kisababishi cha swali ni kuwa mm ni mkaaz mzawa wa Mboka,lkn atujawahi onana,labda kwakuwa Tbr imepanuka,imekuwa kubwa. Pia picha nimei-like.
Teh teh teh. I laugh! Isikuchanganye sn. How can 'u pronounce an English word "sister"? Yaan mdada in swahili.Asante...........
Hiyo C6 unamaanisha nini? sijaielewa naona kila ukiandika unaweka na hiyo C6.............................
Hata hiyo mie siishi Tabora kwa sasa japo ni kwetu.
Hiv movie yake inaitwaje" nyimbo si AeroSmith i dont want to miss a thing
He is my soul mate. .....
My everything. .......
Part of me...... aka my partner in crime....
My sushi..... my mahalat.....
He is........ he'll be here soon.
Just wait.
mh, you a troy woman, proudly yourself kasie...That's fact and naked truth...........
Hivi bado wapo wanafikiria mapenzi kipindi hiki cha mzee wa majipu