Missile Mpya Ya Iran Harmshaher 5

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
11,244
Reaction score
15,063
 
Wakati netanyahu anaenda kurobi kupata replacement ya intercept iran inaendeleza ubunifu na production .. ya missle hii ndo maana halisi ya kujitegemea kikamilifu
 
WAYAHUDIA wengi wanaondoka kwenye ile nchi ya Mchongo wamekata tamaa na mavitavita yasiojulikana !!!

mwisho wake Wawekezaji nao ndio mitaji yao wanaondoa halaka.

Kwasasa watu wapo kwenye kuhama kwa Speed kubwa.- Ata mimi ningeama..
 
Hilo ndo pigo kubwa kwa israel pia kuna yule waziri wa ulizni mwenye macho kama shetan badla ya kuhamasisha utulivu yeye anasema vita ndo itaamza tena sasa makampuni mengi lazima yataondoka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…