Miss Chaga

Payer

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
824
Reaction score
189
Huyu binadamu ana cheo gani Jamiiforums.

Nauliza hivi kujua, maana umakini wake jamvini ni zaidi ya mtoto wa madrasat anayejifunza arif chini ya mkufunzi mkali sana.

Wengine kama miss chaga ni akina nani humu jamvini?
Nawasilisha.
 
Naona Umenunua Ligi Ngoja Aje,
 
Nliondoka kidoogo mshaanza kumtolea mimacho,nikifa je?
miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Macho gan kwa miss invisible
 
Mi navyomfahamu Anapenda sana Ankara,huwezi kuwa nae km wewe ni huna kitu

Daaah, kisa wa kaskazini. Mi sitamani hata kumuona. Maana km yuko mawindoni hapa jf
 
Daaah, kisa wa kaskazini. Mi sitamani hata kumuona. Maana km yuko mawindoni hapa jf

Lol Sina uhakika mkuu,ila najuaga money is the root of all evil- yaani pesa ni shetani Kwa Kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…