Sidhani Kama hawa mawaziri watapona iwapo JPM atabadilisha baraza la Mawaziri
1. Ummy Mwalimu
2. January Makamba
3. Jummanne Maghembe.
4....
5.......
Kuna wengine wengi tu, ila hawa wameshindwa kazi kwa maoni yangu. Pengine msukuma atapata nafasi kwenye baraza jipya au Lusinde maana wana spidi ya mwendokasi