Mimi ni mfanyakazi mzuri na naipenda kazi yangu, siwezi kupoteza utu na thamani ya kazi yangu kwa pesa za rushwa. Nitalipwa na STUNTER pesa halali ya kazi ya mikono yangu.
Achana na hayo mambo mkuu utapata hasara na tuhuma 3
1. Nitakushtaki kutaka kutoa rushwa
2. Unataka kuiba mke wa mtu
3. Utapokea kipigo kikali sana kutoka kwa supermarket mpaka uwakumbuke ndugu zako
Heshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa
Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu