miss chaga vs lara 1

Hawataki kuja kuangaliq mpira, wao wameng'ang'ania tu huko nje, niliposhuka tu wakanikimbilia. Nilifikiri wamekosa usafiri. Walipojiona siwajali wameniporomosheaje ya nguoni.

hahahaa pole ikawaje
 
mwombe baunsa akupe kampani uwatoke kijanja

Ngoja nivizie mmoja maana nimepaki karibu na petro, eneo la hapa pamejaa sana! Leo mimi leo! Naogopa hakanka android! Yaani nimewaona kama wawili wamejaa km hawa mabaunsa wenyewe! Niombeeni mimi leo jamani!
 
mmmmmmh tukuombee tena pigana kwanza kiume una maana hata kujitutumua huwezi
 
mmmmmmh tukuombee tena pigana kwanza kiume una maana hata kujitutumua huwezi

Weeeeh! Ngoja nikipata picha ya mmoja wao niitupe hapa! Utanihurumia! Afu, duh! Mamaaa! Sijui wanauza nini, maana wanaita wateja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…