Kwa kuwa linafanyikia billz ndio maana mnaliita tukio la burudani na yeyote anaweza kuwekwa tu ilimradi. Eti hakuna tija ni suala la burudani tu!
Kwahiyo mnataka kusema huyo Miss atakuwa ni ceremonial tu na hana a career to develop?! Kajala anamjenga nini huyo mlimbwende mtarajiwa?
Kwani lazima wawe hao unao wahitaji? Kwao huyo Kajala ana tija zaidi ya hao unao wahitaji!Habari wakuu,
Kuna rafiki yangu amenitonya kuwa Kajala Masanja atakuwa ni staa rasmi atakayefanya Special Appearance ktk shindano la Miss CBE pale Billz Posta Ijumaa ya kesho tarehe 26.
Sasa swali langu, kwanini iwe Kajala? Kwanini asingekuwa Wema, Jokate, Uwoya au Ezekiel?!
Au japo K-Lyin, Faraja Nyalandu, Nargis na wengineo ambao walishawahi kushiriki mashindano haya ya ulimbwende!?
Of all ladies, Kajala ataleta tija gani?
Nieleweshwe plz..
Mbona Aunt Ezekiel aliendaga na mhishmiwa Nyalandu Marekani kutangaza utalii hamkulalamika why Kajala?muacheni basi awe mgeni rasmi puliiizKwa kuwa linafanyikia billz ndio maana mnaliita tukio la burudani na yeyote anaweza kuwekwa tu ilimradi. Eti hakuna tija ni suala la burudani tu!
Kwahiyo mnataka kusema huyo Miss atakuwa ni ceremonial tu na hana a career to develop?! Kajala anamjenga nini huyo mlimbwende mtarajiwa?
hahahahaha Warumi niache....stakiiiiungewahoji hao walioandaa hyo shoo, sasa sisi tutakusaidiaje? umbea mwingine jamani hapana , hata kama tunapenda kusengenya watu ila hii habari hapana