Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
sasa huko mtaa wa saba wewe upo upande gani? nauliza tuanidunde nani sasa na mi ndo bauncer wao!
ahahahahahhahahahha uuuuiwh!mtaaa wa saba walahi kuchelewi kukuta kachanchuda ka mzee K kamejitaja uuuuuih!NTAPIGANAJE SASA!
kwi kwiiiiiiii, ulijuaje?ah waaaaapi!unavonilavu sasa utaachaje kuget worried!
sia ajabu ushaanza novena hapo!
kwiiiiiii kwiiiiii !
sasa huko mtaa wa saba wewe upo upande gani? nauliza tu
kwi kwiiiiiiii, ulijuaje?
me love you sana yaani..... hapa magoti kwa sakafu na kijitabu cha huruma ya Mungu mkononi......
chezeya luv kwa lil sis
Hapo hujamtaja mama yao...shaurilo wakikusogeza hako kamsitu karibu na huko maskani
ahahahahahhahha nakwambi ngoja niache!
mi hawatakauwa na kazi ya kunivizia pale kinondoni ujue!ahahahhaha SITAKI MIMI!
salamu zimefika mtani........Haswaaa...btw mzima weye mtani nambari moja wa mimi?
Salamu hizi za uzima pia nazielekeza kwa mtani nambari mbili muke ya teja, FP
kumbe pamoja na bange zako bado una kumbukumbu nzuri tu.......ahhaahhahahha naachaje kujua sasa!wakati zamani kosa nafanya mimi wewe unaanza kuumwa tumbo kabla sijarudi!itakuwa ugomvi wa mtaa wa saba!hasa kwa stage ulipofikia sasa hivi!ahaahhahahha lazima uumwe tumbo i see!
salamu zimefika mtani........
teja pia nimfikishie au hizi ni especially kwa watani wako tu?
ngoja nimbembeleze mdogo wangu snowhite kama anaweza kuja kukutetea........
hii kesi siyo ndogo ujue.... unahitaji bouncer.
salama lakini rafiki?
Kizunguzungu.