wanaume wengi wa misri huwa ni mabikira, na wakioa huwa wanakodiwa wanenguaji na makahaba kama hao (ni kama kanga moko ndebendebe vile) halafu wanawafanyia kitu kama kitchen party mwanaume na mwanamke wakafanye nini chumbani kwasababu hawajawahi kabisa. hata hapo wakiwapiga stop hawatafanya hadharani ila watafanya sehemu za siri kama kitchen party.