Misingi ya kipagani katika Uislam

Waislam wote ni wapagani

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app

vipengele vya kipagani vilivyoingia katika Ukristo:
KipengeleAsili ya Kipagani?Jinsi Kilivyoingia Ukristo
Desemba 25 (Krismasi)Sikukuu ya jua (Sol Invictus)Ilitumika kuadhimisha kuzaliwa kwa Yesu

Othodox wanaadhimisha tarehe 7 Januari
Pasaka (Easter)Ishara za uzazi (mayai, sungura)Ilichanganywa na sherehe ya Ufufuo wa Yesu
Kuwaenzi watakatifuKama utamaduni wa mashujaa wa KirumiWatakatifu walionyeshwa kama mfano, si miungu
Majengo ya makanisaMajengo ya Kirumi (basilica)Yalitumiwa kwa ibada ya Kikristo


Wanahistoria wanakubali pia kwamba vipengele vya utamaduni wa kipagani viliingia baadaye, hasa baada ya Emperor Constantine kuhalalisha Ukristo (313 AD)
Wataalamu wa Theolojia wanakubali vipengele vya kipagani vinaonekana kama utamaduni, si mafundisho ya imani.
 
Asante kwa andiko safi na lililojaa tafiti.
K
 
Kumbe kuna Waislamu Walokole bwana 🤣🤣🤣🤣

2:21 - Enyi watu! Muabuduni Mola wenu Mlezi aliye kuumbeni nyinyi na wale wa kabla yenu, ili mpate kuokoka
 
Nawashangaaga sana watu wanagombaniaga dini yaani mtu unaamini jambo fulani unataka kumlazimisha mtu aachr anachokiamini sasa wewe imani aliyoikubali mtu inakuuma nini.

na ninapoona dini fulan inashambuliwa sana inaonekana ina nguvu na ukweli ndani yake.

wewe unayeamini hakuna mungu wa dini unaonaje ukaishi kwa taratibu zako bila kubughdhi imani ya mwingine.

wewe unayeamini ukristo unaonaj ukamshikanyesu wako na kumuweka katika maisha yako bila kujali wengine wanaamini nini

unayeamini uislamu kuna shida gani ukafiata misingi yako ya quran na sunna bila kumbughdhi mkristo na myahudi abaki na imani zake.

Maana naona ni utoto na ukosefi wa akili kushabikia dini.

mtu anaokota makala popote pale anakuja kuzimwaga hapa ili tu kuleta mashindano..

nawaona takataka wote mnaoleta ushindani na ushabiki wa dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…