Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 3,530
- 6,922
Ndio muabudu jiwe jeusi? .Kila siku unaambiwa uislamu ulikuwepo kabla ,mtume hakujenga Kaaba ila ilikuwepo ...Mtume Muhammad alikuwa ni mtume wa Mwisho ,kila kitu kilishatangulia ila yeye alikuja kukamilisha dini katika Ummah huoππ
Ukisema waliyogoma kufuata hiyo dini waliuliwa ina maana kipindi hicho waislamu hawakuwa wakiishi pamoja na wasiokuwa waislamu?Jihad imesaidia sana.
Waliogoma kuufuata Uislam waliuliwa na Kidin ilikuwa sio dhambi.
Dini ya kwanza kuwa na watu wengi ni Ukristo.
Ww babu yako alikuwa muislam?.Ukisema waliyogoma kufuata hiyo dini waliuliwa ina maana kipindi hicho waislamu hawakuwa wakiishi pamoja na wasiokuwa waislamu?
Jiwe jeusi umelitoa wapi? Mbona kama unaumia ππNdio muabudu jiwe jeusi? .
Hata mm sasahiv naweza nikayakubali ya kila dini pamoja na ya freemasons alaf nikasema mm ndio mtume wq mwisho.
Utakubali?.
Kama utakataa. basi jua ndio mtume alichofanya.
ππππ soma post za nyuma ili unifaham vizur niko upande gani.Jiwe jeusi umelitoa wapi? Mbona kama unaumia ππ
Hao wadudu labda watakuwa waislamu tena wa Tanzania hivyo huona kitimoto ni haramu ila wadudu wa China au Korea huko hawawezi kuogopa kitimoto.hatujakosea. mohamed alikuwa mjanja mjanja.
Yaan ule muunganiko unafanya had sasahiv Muislam na akili zake anajisifia kuwa na maruhani (mapepo) wanajisifu kabisa kuwa mm nina wadudu .
Ajabu kabisa.
Na sijui kwann wadudu wanaogopa kitimoto
Na Silas
Wakati Mtume Muhammad alipolianzisha Dini ya Uislamu, alichukua vipengele mbalimbali kutoka katika dini zilizokuwepo tayari katika Ukanda wa Mashariki ya Kati. Dini hizo ni pamoja na Uyahudi, Ukristo, Sabayen, Zoroastri (Zarathustra), pamoja na imani za kipagani. Kati ya hizi, Uyahudi ndio ulikuwa chanzo kikuu cha mafundisho ya Uislamu, ukifuatiwa na Ukristo, kisha imani za kipagani ambazo zilichangia pakubwa katika desturi, ibada na mfumo wa maisha wa dini hiyo.
1. Ushawishi wa Dini za Kipagani katika Uislamu
a) Kaaba β Chanzo cha Ibada za Kipagani
Muundo wa Kaaba:
Kaaba ni jengo la mstatili lililojengwa kwa mawe, lenye urefu wa takriban futi 50 na upana wa futi 40. Mlango wake uko futi 7 kutoka usawa wa ardhi, na kuingia ndani kunahitaji ngazi. Kona ya mashariki mwa Kaaba kuna jiwe jeusi maarufu (al-Hajar al-Aswad) lenye kipenyo cha sentimita 30, ambalo waumini hulibusu au kuligusa kama sehemu ya ibada.
Asili ya Kaaba
Tangu karne ya kwanza kabla ya Kristo, Kaaba ilitajwa na wasafiri na wanahistoria kama Diodorus Siculus na Ptolemy, waliolitambua kama hekalu la heshima kubwa kwa Waarabu. Kaaba ilikuwa kituo cha ibada za kipagani, ambapo watu waliabudu miungu mbalimbali na kufanya tambiko. Hadi karne ya sita BK, kampeni ya mfalme Abraha kutoka Yemen ililenga kuharibu Kaaba kwa kuwa ilikuwa na mvuto mkubwa wa kidini kabla hata ya kuja kwa Uislamu
b) Sanamu na Ibada za Kipagani Zilizorithiwa na Uislamu
Kaaba ilizungukwa na sanamu 360. Miongoni mwa sanamu zilizoheshimiwa zaidi ni Hubal (sanamu kuu), pamoja na sanamu za kike: al-LΔt, al-βUzzΔ na ManΔt β ambazo pia zimetajwa ndani ya Qur'an. Ibada zao zilihusisha kuvaa mavazi meupe, kuzunguka Kaaba (tawaf), kubusu jiwe jeusi, na kukimbia kati ya vilima viwili (Safa na Marwa) yote haya yakiwa ni matendo yaliyodumishwa na Uislamu lakini yakiwa na maana mpya ya kiroho.
c) Jiwe Jeusi kama Alama ya Ibada
Jiwe Jeusi lilitumiwa katika ibada za kipagani, ambapo damu ya sadaka ilimwagwa juu yake badala ya madhabahu. Katika Uislamu, jiwe hilo lilibakia kama ishara ya ibada; waumini hulibusu au kuligusa kama sehemu ya Hijja. Muhammad hakuliondoa, bali alilihifadhi kama sehemu ya ibada mpya, huenda kwa lengo la kudumisha mila alizozikuta.
2. Hadithi za Kitabu na Changamoto za Kihoja
Muhammad alidai kwamba Kaaba ilijengwa na Nabii Ibrahim (Abrahamu) na mwanawe Ismaβil (Qur'an 2:127), ikatajwa kuwa nyumba ya kwanza ya ibada kwa wanadamu (Qur'an 3:97) na kuwa mahali patakatifu palipotengwa na Mungu (Qur'an 5:97).
Hata hivyo, msomi Taha Hussein alieleza kuwa simulizi hii ilikuwepo kabla ya Uislamu, ikiwa ni njia ya kutoa uhalali wa kihistoria kwa Waislamu wapya.
Changamoto kuu huibuka: Ikiwa Kaaba ni nyumba ya Mungu, kwa nini Waislamu wa mwanzo walielekeza swala zao Yerusalemu badala ya Maka? Ni baada ya muda wa Hijra ndipo qibla ilihamishiwa Maka jambo linaloweza kuelezwa kisiasa na kijamii, zaidi ya kiroho.
3. Mifumo ya Kitamaduni ya Kipagani Ndani ya Uislamu
Desturi ya Kipagani na Utekelezaji katika Uislamu
πWaislamu wanabusu jiwe kama ishara ya ibada ,wapagani walibusu Jiwe Jeusi la Kaaba
π Wapagabi walitembea kwa mzunguko kwenye madhabahu , waislamu wanazunguka Tawaf mara saba
Wapagani na waislamu wanakimbia kati ya vilima Saβi β kati ya Safa na Marwa
π Waislamu na wapagani kabla ya Muhammad walipiga magoti au kunyenyekea kwa miungu Rukuu na kusujudu katika Sala
π Wapagani na waislamu waliweka mwezi wa ibada
π Wapagani na waislamu walifanya Mfungo wa Ramadhani na sikukuu za Eid
4. Ushawishi wa Kisaikolojia wa Kipagani katika Uislamu
a) Safari ya Usiku (Miβraj)
Surat al-Isra (17:1) inasimulia kuhusu usiku ambao Muhammad alisafiri kutoka Maka hadi Yerusalemu na kupanda mbinguni. Hadithi hii inafanana kwa undani na simulizi za dini ya Zoroastrian, kama kitabu cha Arta Viraf, ambapo mhusika aliongozwa na malaika kupanda mbinguni na kuona pepo na moto wa jehanamu.
b) Jina la Shetani β Azazil
Jina βAzazilβ halitokei katika Qurβan, bali lina mizizi katika maandiko ya Kiyahudi (kama kitabu cha Lawi ), ambapo lina maana ya roho au mnyama wa kutolewa sadaka ya upatanisho (scapegoat). Baadhi ya hadithi za Kiislamu zinamwelezea Azazil kama malaika aliyeasi β hadithi zinazofanana na simulizi za Ahriman wa dini ya Zoroastrian.
c) Sabayen β Wafuasi wa Ibada ya Sayari
Katika Qurβan (2:62, 5:69, 22:17), Sabayen wametajwa kama watu wa dini tofauti waliokuwa na nafasi mbele ya Mungu. Ibn Hazm na wanahistoria wengine wanasema walikuwa waabudu nyota na sayari, walikuwa wakiswali mara tano kwa siku na walikuwa wakifunga mwezi mmoja kila mwaka β mambo ambayo yanafanana na baadhi ya nguzo za Uislamu wa baadaye.
5. Peponi na Warembo wa Milele (Houris)
Qurβan inawataja βhourisβ kama wanawake (na baadhi ya riwaya wanaume) wa peponi wenye macho makubwa, wenye tabia njema na uzuri wa kupendeza (Qurβan 44:54, 52:20, 56:22, n.k.). Wazo hili linafanana sana na dhana ya βfairiesβ wa dini ya Zoroastrian viumbe wa rohoni waliotazamwa kama zawadi kwa waadilifu waliokufa.
Kwa mujibu wa utafiti huu, ni dhahiri kuwa baadhi ya desturi, ibada na mifumo ya fikra ya Uislamu zina mizizi katika imani za kipagani na dini zilizotangulia. Muhammad alichukua baadhi ya vipengele hivyo, akavibadilisha na kuviweka katika muktadha mpya wa kidini kwa nia ya kuunganisha jamii yake na kutoa uhalali wa kihistoria kwa dini aliyokuwa akiianzisha.
Silas anahitimisha kuwa msingi wa Uislamu hauwezi kutengwa kabisa na utamaduni wa kipagani uliokuwepo kabla yake jambo linaloonyesha kuwa dini mpya ilikuwa pia ni mwendelezo wa mila zilizokuwapo, zikiwekewa maana mpya ya kiroho na kisiasa.
Ndugu waislamu wanauziwa mafuta na vingine vingi vya kitapeli na kwa kweli wanawatajirisha sana matapelihata makanisani sijui wameruhusiwa na nani mpaka wanaenda kutolewa pale kwa maji na udongo wa kununua ili tujenge hotel!
Mkuu umesahau kumtaja jini MAIMUNA [na wasichna wa kiislam waitwa jinahili], jini MAKATA, MZEE BABAB JINI SUBIANI!!Na Silas

Hawa majini ni waislam. Mtume aliwaruhusu kuwa waislam.Mkuu umesahau kumtaja jini MAIMUNA [na wasichna wa kiislam waitwa jinahili], jini MAKATA, MZEE BABAB JINI SUBIANI!!
Mtu serious usome dini mtandaoni?Jamiiforum imenipa mwanga mkubwa Sana juu ya utapeli uliyopo katika Imani hii.
Mbona utapeli ni mwingi Sana kuliko ukweli ? Mimi naomba kuelimishwa na nyie wajuzi wa haya mambo Je huyu muddy tukimwita tapeli tutakuwa tumekosea?
Castle_Lite
Jackwillpower
Kwahiyo kumbe unataka tufuate imani kwa misingi ya kuangalia mababu zetu na sio kwa kujiridhisha sisi wenyewe?Ww babu yako alikuwa muislam?.
Afrika tulikuwa na dini zetu ila mababu zetu walishurubiwa wakakubali dini nyingne.
Hawakuweza kwenda mashariki ya mbali china, India Japan nk na ndio maana wao kule wana dini nyingne
Hatari na nusuHawa majini ni waislam. Mtume aliwaruhusu kuwa waislam.
Hapa ndio ujue sasa Uislam ni janja janja. hadi majini hauuogopi.
πππππ mtandaon kuna kila kitu.Mtu serious usome dini mtandaoni?
Ndio Shida ya wagalatia,
Kama watakuwepo wenye hizo akili za kukwepa huo unaoita mtego basi wewe sio katika hao.Summary ni kwamba umekiri na kuonyesha kuwa Uislam umeiga hizo taratibu. tamaduni na dini za nyuma.
Hoja kuwa yenyewe ndio sahihi sio kweli maana lengo la Mohamed lilikusa ni kupata wafuasi kwenys dini yake mpya na kuwaunganisha watu wa upande ule na wa dini zote.
Sasa sio binadamu wote watazama kwenye huo mtego . wengine wana ufaham wa kutambua mtego alioset Mohamed.
wako wengi sana zaidi ya hao , si ajabu.Ndugu waislamu wanauziwa mafuta na vingine vingi vya kitapeli na kwa kweli wanawatajirisha sana matapeli View attachment 3414260View attachment 3414261
Crusades zilikuwa na kazi gani?Jihad imesaidia sana.
Waliogoma kuufuata Uislam waliuliwa na Kidin ilikuwa sio dhambi.
Dini ya kwanza kuwa na watu wengi ni Ukristo.
www ndyo kila kitu, labda uamue kuishi kijimaMtu serious usome dini mtandaoni?
Ndio Shida ya wagalatia,
Dini inasomwa hadi jela11πππππ mtandaon kuna kila kitu.