kwa massawe pale unakuta spika kubwa 6 kila upande kina ndeyanka, babuu ,samu, nderingo totoliii, wanacheza kamari nje kwa mbali nyimbo ya sedekia , wamama jikoni wanapika vyakula kama ndo siku ya harusi alafu anayefanyiwa sherehe ya mwisho yupo dar hata hajatolewa mochwari ,MTOTO WA KWANZA WA MZEE MASSAWE NI KISHIMBA YUPO BAR NA MATES WAKE WA UTOTONI WANAPOROMOSHA ULABU
HATARIOO