M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,919 Reaction score 4,709 Oct 19, 2023 #1 Habar wakuu baba yangu anataka kwenda kufanyiwa operation ya kuzibua mishipa ya moyo JKCI..vip wakuu kwa uzoefu wenu kwa yoyote amabae amefanyiwa hii operation
Habar wakuu baba yangu anataka kwenda kufanyiwa operation ya kuzibua mishipa ya moyo JKCI..vip wakuu kwa uzoefu wenu kwa yoyote amabae amefanyiwa hii operation
M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,919 Reaction score 4,709 Oct 19, 2023 Thread starter #2 Wakuu mmegoma kunipa msaada
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 18,693 Reaction score 23,339 Oct 19, 2023 #3 Wako vizuri nenda usimcheleweshe father